Job 39:25

25 aAsikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’
Hunusa harufu ya vita toka mbali,
sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita.
Copyright information for SwhNEN